×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Band BeC watoa album yao ya kwanza

Band BeC watoa album yao ya kwanza

Band Beca kikundi ambacho kilikuja kwenye limelight mwaka wa 2016,na wimbo wao wa "brathe" hatimaye wameamua ku-release album yao ya kwanza

 
"Beca Fever" ikiwa ndio jina la album hio inayoonekana kuwa album itakayokuwa na  hits kadha wa kadha kutokana na wasanii  ambao wameshirikishwa humo. Miongoni mwa wasanii watakao kuwa kwenye album hii ni, Ssaru, Femi One, Fena Gitu, Sanaipei Tande na Mimi Mars
 
Hata hivyo hivi karibuni kikundi hichi cha wasanii wawili, Becky na Caro kimekuwa under alot of criticism baada ya kushiriki kwenye kipindi cha "wife material" ambapo mmoja wa kundi hili, Carol aliibuka kama mshindi
 
Je kwa mtazamo wako unadhani Band BeCa kushiriki kwenye hili shindano la "Wife Material" ilikuwa njia ya kupata attention ya watu ili kusukuma album yao mpya

Share this: