×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Breeder Lw kulipwa Ksh 1million ku-perform

Breeder Lw kulipwa Ksh 1million ku-perform
Siku za hivi karibuni wasanii wamekuwa wakilalamika kwamba hawalipwi kama ipasavyo kwenye performance zao, hivyo basi kupelekea wasanii wengi kutoishi maisha mazuri kama inavyotarajiwa na jamii na hata mashabiki zao
 
Ni wiki tu iliyopita ambapo muigizaji mkongwe, Kamau Kinuthia  a.k.a "Omosh" alieleza masaibu anayoyapitia ikiwemo kutoweza kulipa kodi yake ya nyumba yapata miezi kadhaa, na kupelekea wakenya kumchangia kwenye mitandao ya kijamii
 
Ili kuyaepuka haya, msanii Breeder Lw amesema kwa sasa show yoyote ambayo atakuwa anaifanya atahitaji kulipwa 10000 USD hii ikiwa ni Ksh 1,000,000 akisema ya kwamba wasanii wanafaa kulipwa vizuri ili kesho na keshokutwa wasije kudhalilika
 
Je kwa mtazamo wako unadhani Breeder Lw anafaa kulipwa Ksh 1,000,000 ku perform show moja
 
 

Share this: