
Band Beca kikundi ambacho kilikuja kwenye limelight mwaka wa 2016,na wimbo wao wa "brathe" hatimaye wameamua ku-release album yao ya kwanza.
"Beca Fever" ikiwa ndio jina la album hio inayoonekana kuwa album itakayokuwa na hits kadha wa kadha kutokana na wasanii ambao wameshirikishwa humo. Miongoni mwa wasanii watakao kuwa kwenye album hii ni, Ssaru, Femi One, Fena Gitu, Sanaipei Tande na Mimi Mars.
Hata hivyo hivi karibuni kikundi hichi cha wasanii wawili, Becky na Caro kimekuwa under alot of criticism baada ya kushiriki kwenye kipindi cha "wife material" ambapo mmoja wa kundi hili, Carol aliibuka kama mshindi
Je, kwa mtazamo wako unadhani Band BeCa kushiriki kwenye hili shindano la "Wife Material" ilikuwa njia ya kupata attention ya watu ili kusukuma album yao mpya
Share this: