×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Watu 6 wafariki kutokana na COVID-19 huku 75 wakipona

Watu 6 wafariki kutokana na COVID-19 huku 75 wakipona

Watu 6 wamefariki kutokana ugonjwa wa COVID-19.Idadi jumla ya waliofariki kufikia sasa ni 1,813.

Haya yanajiri huku watu wengine 226 wakibukizwa virusi vya korona katika kipindi cha saa ishirini na nne zilizopita baada ya kupimwa kwa sampuli elfu 4,606.

Aidha wagonjwa 75 wa Covid-19 wamepona na kufikisha jumla ya waliopona kuwa 85,512. Miongoni mwa 75 hao, 49 walikuwa katika huduma za nyumbani huku 26 wakiwa atika hospitali mbali mbali.

Kufikia sasa watu 1,150 wako katika huduma ya nyumbani, huku 333 wako katika hospitali mbali mbali nchini.

Share this: