×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Elachi ateuliwa kuwa katibu wa Utawala katika Wizara ya Huduma za Umma na Jinsia.

Elachi ateuliwa kuwa katibu wa Utawala katika Wizara ya Huduma za Umma na Jinsia.

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Nairobi Beatrice Elachi ateuliwa kuwa katibu wa Utawala katika Wizara ya Huduma za Umma na Jinsia.

Elachi ni miongoni mwa makatibu tisa wa utawala walioteuliwa katika wizara mbalimbali ambao wameapishwa leo ili kuanza majukumu yao.

Tisa hao walioteuliwa na Rais hivi majuzi ni ni Erick Wafukho aliyeteuliwa katika Wizara ya Fedha, Jackson Musyoka Kalla katika Wizara ya Leba, Lawrence Angolo katika Wizara ya Kilimo, Prof  Ntiba Micheni wa Idara ya Sheria, David Osiany katika Wizara ya Viwanda, Sara Ruto katika Wizara ya Elimu, Alex Mburi katika Wizara ya Ardhi, Zachary Ayieko  katika Wizara  ya Kawi .

Akizungumza katika Ikulu baada ya kuongoza uapisho huo, Rais Uhuru Kenyatta amewataka kujikita zaidi katika kukamilisha miradi ambayo imeanzishwa  na serikali na kuhakikisha kwamba inakamilika ili kuijenga rekodi yake.

Share this: