×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Rais Kenyatta azungumzia kurejelewa kwa kazi mtaani

Rais Kenyatta azungumzia kurejelewa kwa kazi mtaani

Rais Uhuru Kenyatta amedokeza kuhusu kurejelewa kwa mpango wa Kazi Mtaani. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Hospital ya Kayole, Rais amesema kwamba amepokea mashinikizo mengi kutoka kwa vijana katika pita pita zake na mikakati itawekwa ili kuurejeshwa mpango huo.

Mpango wa Kazi Mtaani ulianzishwa mwaka uliopita ili kuwasaidia vijana ambao wengi walikuwa wameathirika kiuchumi kutokana na janga la korona.

Hata hivyo kwa mujibu wa ratiba ya serikali, ulitarajiwa kukamilika mwaka ujao.

Share this: