×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Rais Uhuru azindua hospitali

Rais Uhuru azindua hospitali

Rais Uhuru Kenyatta akishirikiana na Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Jiji la Nairobi NMS Mohamed Badi amezindua hospitali mpya iliyojengwa na idara hiyo kwenye Eneo la Kayole.

Hospitali hiyo ni miongoni mwa hospitali 19 ambazo zinajengwa na nyingine 5 ambazo zimekarabatiwa hasa kwenye mitaa ya mabanda huku kukiwa na lengo la kuhakikisha kwamba kila wadi ina hospitali.

Akiongoza uzinduzi huo, Rais Uhuru Kenyatta amepigia debe mapatano baina yake na Raila Odinga akisema yameleta utulivu na amani.

Kadhalika amepigia debe BBI akikariri kuwa itakuwa na manufaa makubwa kwa Wakenya wala si kwake yeye wala Raila.

Ametumia fursa kuwapongeza wawakilishi wadi wa Nairobi waliopitisha mswada wa BBI hapo jana.

Share this: