×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Otile atoa wito kwa mashabiki wake

Otile atoa wito kwa mashabiki wake

Na Hassan Umar,

NAIROBI, KENYA, Unaposkia jina Jacob Obunga huenda ukashangaa namuongelea nani, ila huyu ndio msanii mkubwa kwa sasa hapa +254 huku akiwa amejizolea mashabiki aina ainati, wengi wakiwa wakike, Otile Brown A.K.A Obiize wiki za wivi karibuni amekuwa biize(busy) sana kimuziki

 
Wikendi iliyopita alifanya show kubwa sana, Kiambu, alongside Juma Jux wa Tz, Sammido na Nikita Kering wote wa hapa nchini Kenya, kwenye show iliyoitwa "The Finest", kutokana na wingi wa mashabiki waliojitokeza kwenye tamasha hilo, inaonyesha ni jinsi gani wananchi wana kiu  ya kuwaona wasanii jukwaani waki perform ngoma wanazozipenda, lakini kwa sababu ya COVID 19 restrictions, events kama hizi zimekuwa kidogo sana, anyway, hii ni conversion ya siku nyengine back to my point
 
 
Mbali na album yake ya "Just in love" kufanya vizuri mwaka jana, Otile ameamua kwamba pia huu mwaka hakuna kutulia. Kupitia mtandao wake wa Instagram, Otile amewaomba mashabiki wake wa guess ni msanii yupi wa kimataifa ambaye anamshirikisha kwenye ngoma yake ijayo
 
Sasa kazi kwako shabiki wa Otile, unadhani ni msanii yupi wa kimataifa ambaye atashirikishwa na bad man shivo

Share this: