×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Mwanahabari mkongwe Larry King aaga dunia

Mwanahabari mkongwe Larry King aaga dunia

Mwanahabari Maarufu wa Marekani, Larry King amefariki dunia. King amefariki dunia baada ya kuambukizwa Virusi vya Korona.

King atakumbukwa zaidi kufuatia kipindi chake katika Runinga ya CNN alichokifanya kwa kipindi cha miaka ishirini na mitano. tangu alipokianzisha mwaka 1985 hadi mwaka 2010 aliwahoji watu mbalimbali walio na ushawishi wakiwamo marais kadhaa wote wa Marekani waliokuwa mamlakani wakati huo.

Kwa jumla amefanya zaidi ya mahojiano elfu hamsini katika kipindi cha miaka tisini alichokuwa mwanahabari.

Marehamu alifunga harusi mara nane na wanawake saba. Amefariki dunia akiwa na umri wa miaka themanini na saba

Share this: