×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Kananu sasa ndiye Gavana wa Nairobi

Kananu sasa ndiye Gavana wa Nairobi

Naibu Gavana wa Nairobi, Anne Kananu amechukua rasmi hatamu za uongozi.

Akihutubu katika hafla iliyofanyika ofisini mwake, Kananu ameahidi kuwahudumia kikamilifu wakazi wa kaunti hii. Aidha, amedokeza kwamba kamati maalum inayoshughulikia suala la uongozi inaendeleza mchakato wa kufanikisha mpango wa kumtangaza kuwa gavana na hivyo atamchagua naibu wake hivi karibuni.

Share this: