×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Niko tayari kufanya mazungumzo kuhusu BBI, asema Raila

Niko tayari kufanya mazungumzo kuhusu BBI, asema Raila

Kiongozi wa Chama cha ODM amesema wako tayari kufanya mazungumzo kuyashughulikia masuala yanayoibua utata katika mpango wa upatanishi BBI.

Akizungumza alipohudhuria ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto mtaani Embakasi hapa jijini Nairobi, Raila amesema kanisa itapewa nafasi kuwasilisha mapendekezo yake.

Wakati uo huo, Raila amemsuta vikali Naibu wa rais William Ruto akisema anaeneza propaganda kuhsu BBI. Amesema ameshindwa kuwatimizia Wakenya ahadi alizotoa wakati wa kampeni ya mwaka 2017.

Amesema mpango wake wa Hustler ni kujitafutia tu kura wala si kwa manufaa ya Wakenya wa kipato cha chini anavyodai.

Share this: