×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

UDA imemteua Urbanus Ngengele kupeperusha nendera yake uchaguzi mdogo wa Useneta Machakos.

UDA imemteua Urbanus Ngengele kupeperusha nendera yake uchaguzi mdogo wa Useneta Machakos.

Chama cha UDA kimemteua Urbanus Ngengele kuwa mgombeaji wake katika uchaguzi mdogo wa Useneta Machakos.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa chama hicho, Johnstone Muthama, uamuzi huo umeafikiwa kufuatia utafiti wa kisayansi kuhusu umaarufu wa waliokuwa wakiwania tiketi ya chama hicho.

 Tayari Naibu wa Rais, William Ruto amempongeza Ngengele kufuatia uteuzi huku wagombeaji wengine wakiapa kumuunga mkono.

Ngengele sasa atamenyana na  Agnes Muthama wa chama cha Wiper, John Mutua Katuku wa Maendeleo Chap Chap miongoni mwa wagombeaji wengine waliojitokeza kuwania.

Ikumbukwe chama cha Jubilee kilijiondoa katka uchaguzi huo mdogo ili kukipa nafasi chama cha Wiper.

Share this: