×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Huenda mataifa maskini yakakosa chanjo ya korona kwa wakati -WHO

Huenda mataifa maskini yakakosa chanjo ya korona kwa wakati -WHO

Shirika la Afya Duniani WHO limeelezea wasiwasi kwamba huenda mataifa maskini duniani yakakosa kupata chanjo dhidi ya korona kwa wakati.

Akizungumza akiwa nchini Uswizi, Katibu Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema miongoni mwa mataifa arubaini na manne ambayo yameanza kutoa chanjo hiyo mengi ni yale tajiri.

Amesema baadhi ya mataifa yameanza kuagiza chanjo hiyo bila kuzingatia maafikiano ya umoja wa mataifa hali itakayoathiri mpangilio wa kuhakikisha kwamba kila raia duniani anapokea chanjo dhidi ya virusi hivyo hatari.

Wakati uo huo, ameyashauri mataifa yaliyo na uwezo kukoma kuendelea kuagiza chanjo zaidi ya zinavyohitaji.

Share this: