×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Mwanafunzi ajaribu kumkata mwalimu kwa kifyekeo katika shule moja Nyamira

Mwanafunzi ajaribu kumkata mwalimu kwa kifyekeo katika shule moja Nyamira

Polisi wanamzuilia mwanafumzi wa Shule ya Upili ya Mokwerero, kwenye Kaunti ya Nyamira kwa madai ya kujaribu kumkata kwa kifyekeo Naibu Mwalimu Mkuu.

Inaarifiwa mwalimu huyo ameokolewa na wenzake.

Tume ya Huduma za Walimu TSC imeshtumu visa ambapo wanafunzi wanawavamia walimu huku ikiwashauri wazazi kuwa makini na wanao, hasa baada yao kukaa nyumbani kwa kipindi kirefu baada ya shule kufungwa kufuatia janga la korona.