×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Uhuru atia saini Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Matumizi ya Dawa za Kututumua Misuli

Uhuru atia saini Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Matumizi ya Dawa za Kututumua Misuli

Na Sam Amani,

NAIROBI, KENYA, Rais Uhuru Kenyatta ametia saini ya kuwa sheria mswada wa marekebisho ya Sheria ya Matumizi ya Dawa za Kututumua Misuli miongoni mwa wanariadha (Anti-Doping Amendment Bill 2020).

Mswada huu ulipitishwa na Bunge la Seneti Jumanne wiki hii baada ya kuidhinishwa wiki iliyopita katika bunge la kitaifa.

Shirika la kukabili matumizi ya dawa hizo miongoni mwa wanariadha duniani (World Anti-Doping Agency ) WADA, lilikuwa limetishia kuchukua hatua kali endapo serekali ya Kenya ingekataa kutia saini mswada huo.

Kufuatia hatua hiyo sasa wanariadha watakaopatikana na hatia ya matuzi ya dawa hizo watachukuliwa hatua kali na serikali ikiwemo kufungwa jela kifungo cha maisha.  

Share this: