×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Aliyekuwa Mbunge wa Kaloleni, Chunga Mwinga ameaga dunia, akitibiwa Mombasa

Aliyekuwa Mbunge wa Kaloleni, Chunga Mwinga ameaga dunia, akitibiwa Mombasa

Aliyekuwa Mbunge wa Kaloleni, Gunga Mwinga ameaga dunia. Gunga ameaga dunia mapema leo katika Hospitali ya Mombasa baada  ya kulazwa mkesha wa Krismasi.

Gunga ambaye ni wakili alikuwa Mbunge wa Kaloleni kati ya mwaka 2013 na mwaka 2017 kabla yakushindwa na   Paul Katana. Gunga ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 45.

Kwa mujibu wa familia yake, Gunga alikuwa ameambukizwa virusi vya korona kabla ya kulazwa siku chache zilizopita kwa matibabu.

Share this: