
Maafisa elfu tano wa Mamlaka ya Usalama Barabarani watashirikiana na maafisa wa polisi kuhakikisha sheria zote za barabara zinazingatiwa msimu huu wa sherehe. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usalama Barabarani, maafisa hao watafanya kazi chini ya Inspekta Mkuu wa Polisi Hillary Mutyambai.
Katika takwimu za ajali mwaka huu, watu 3,663 wameaga dunia kutokana na ajali hali. Hillary Mutyambai ametoa takwimu hizo.
Mikakati mbalimbali itawekaa msimu huu kuikabili hii.
Share this: