×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Vijana 20 wakamatwa Maralal wakibugia pombe

Vijana 20 wakamatwa Maralal wakibugia pombe

Vijana ishirini wamekamatwa wakibugia pombe katika nyumba moja ya kupangisha usiku wa kuamkia leo mjini MaralaI, Kaunti ya Samburu.

20 hao walikamatwa kufuatia oparesheni ya maafisa wa polisi iliyoongozwa an Chifu wa eneo hilo Celina Lemakara dhidi ya maeneo ya burudani inayouza mivinyo baada ya makataa ya saa tatu usiku.

Aidha, Chifu hiyo amesema kwamba wanaokiuka sheria hiyo wamewavutia vijana kutekeleza uhalifu ili kutimiza mahitaji ya uraibu.