×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Gavana Sonko asema hataipa fedha idara ya NMS

Gavana Sonko asema hataipa fedha idara ya NMS

Huenda wakazi wa Kaunti ya Nairobi wakakosa huduma muhimu baada ya Gavana Mike Sonko kuapa kutoipa fedha zozote idara ya Nairobi Metropolitan Services, NMS.

Kupitia mtandao wake wa Twitter, Sonko alisema, na nikimnukuu;

Huduma za “The dark days are over. We will not allow anybody to breach the law. Personally going forward, I will not allow any intimidation from anyone,” .

Aidha, gavana huyo amedai kwamba NMS ambayo ilibuniwa na Rais Uhuru Kenyatta an kutengewa majukumu manne makuu, haikubuniwa kisheria na kwamba wapo wanadani wa Uhuru ambao wamekuwa wakiitumia NMS kufanikisha agenda zao huku wakimtishia kumfungulia mashtaka au kumbandua madarakani iwapo atakiuka maagizo yao.