×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Wakazi wa Nairobi wapimwa kubaini iwapo wameambukizwa korona

Watu elfu mbili hamsini na sita walipimwa jana jijini Nairobi kubaini iwapo wameambukizwa virusi vya korona kwenye vituo kumi na saba.

Shughuli hiyo inayoongozwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Jiji NMS inaendelea tena leo hii.

Takwimu za NMS zinaonesha kwamba Eneo la Makadara ndilo lililorekodi idadi kubw ya watu waliojitokeza kupimwa ambao ni mia mbili arubaini na sana, likifuatwa na Kibra na watu mia mbili na waane, Gagorreti Kunisi moa moja tisini na wtatu, Dagoretti Kaskazini mia moja sitini na wanane, Embakasi Kaskazini mia moja thelathini na watano na asarani mia moja ishirini na watano.

Eneo la Roysambu lilirekodi idadi ndogo ambapo ni watu sabini na wawili tu waliopumwa na Ruaraka watu themanini na wawili pekee ndio waliojitokeza.

Mkurugezi wa Afya katika NMS  Josephine Kibaru amesema leo ikiwa siku ya mwisho kwa vipimo hivyo kufanyika wanatarajiwa kwamba watu wengi zaidi watajitokeza.