×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Kasisi John Pesa aomba radhi kwa kukosea kuhusu kifungu cha Biblia kinachozungumzia kuuliwa kwa Goliati.

Kasisi John Pesa aomba radhi kwa kukosea kuhusu kifungu cha Biblia kinachozungumzia kuuliwa kwa Goliati.

Kasisi John Pesa ambaye ameangaziwa pakubwa baada ya kuteleza ulimi kuhusu fungu la bibilia alipomtembelea Naibu wa Rais William Ruto mjini Sugoi amekashfu vikali kejeli ambazo zimefuatia kisa hicho. Pesa ameomba radhi kwa kukosea na kusmea kwamba Suleiman ndiye aliyemwua Goliath na jiwe moja badala ya Daudi akisisitiza kuwa ni kutokana na umri wake.

 Akizungumza na wanahabari nyumbani kwake John Pesa amelalamika kwamba ameanza kupokea jumbe za kumtishia maisha na wengine kumtaka agawe fedha alizopata japo amesisitiza kuwa hakupata fedha baada ya kukutana na Ruto.

John Pesa alialikwa kwenda kumwombea Naibu wa Rais William Ruto kwa mwaliko wa mwanasiasa Eliud Owallo.