×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Waziri Monica Juma azindua mnara wa ukumbusho wa wanajeshi waliofariki dunia

Waziri Monica Juma azindua mnara wa ukumbusho wa wanajeshi waliofariki dunia

Waziri wa Ulinzi Monica Juma amezindua mnara wa kumbukumbu ya wajeshi waliofariki dunia wakiwa kazini katika hafla iliyofanyika katika kambi ya Jeshi la Ulinzi KDF ya Mariakani Garisson iliyo kwenye Kaunti ya Kilifi.

Historia fupi kuhusu majeshi hao imetolewa kabla mnara wenyewe kuzinduliwa rasmi. Baadaye heshima ya mwisho ambayo hufanyika wakati wa mazishi ya mafisa hao imefuata kisha  shughuli ya kuweka kwa shada la maua katika mnara huo.

Viongozi mbalimbali wa kisiasa akiwamo gavana wa Kilifi Amason Jefwa Kingi wanatarajiwa kuyahudhuria madhimisho hayo ambayo kauli mbiu ya mwaka huu ni Kuimarisha Amani na Usalama kupitia Ushirikiano wa Kijeshi na Raia.

Madhimisho haya ni ya tisa tangu madhimisho ya kwanza kufanyika mwaka wa elfu mbili kumi na mbili kufuatia uzinduzi wa Oparesheni Linda Nchi uliofanyaka tarehe mwezi wa Oktoba mwaka wa elfu mbili kumi na moja.