×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Wahadhiri wagoma katika Chuo Kikuu cha Nairobi

Wahadhiri wagoma katika Chuo Kikuu cha Nairobi

Wahadhiri wa utabibu Katika Chuo cha Mafunzo ya Sayansi ya Afya katika Chuo Kiku cha Nairobi wamegoma na kusitisha shughuli katika Hospitali ya Kitaifa  Kenyatta wakilalamikia kusitishwa kwa marupurupu yao.

Mgumo huo umeanza mapema leo baada ya wakuu wa chuo hicho kutangaza kusitisha marupurupu ya wahadhari hao ambao hutoa mafunzo kwa madaktari wanaondelea kupata mafunzo katika Hospitali ya Kenyatta

Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyuo Vikuu KUSU Dakta Charles Mukhwaya ameshtumu uamuzi huo na kuutaja kuwa ukiukaji mkubwa wa haki za wafanyakazi.

Mukhwaya amewashauri kuendelea kupigania haki zao kwa mujibu wa katiba