×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Rais Uhuru Kenyatta amempongeza Waziri Mkuu mpya wa Japan Yoshihide Suga kufuatia uteuzi wake kumrithi Shinzo Abe.

Rais Uhuru Kenyatta amempongeza Waziri Mkuu mpya wa Japan Yoshihide Suga kufuatia uteuzi wake kumrithi Shinzo Abe.

Rais Uhuru Kenyatta amempongeza Waziri Mkuu mpya wa Japan Yoshihide Suga kufuatia uteuzi wake kumrithi Shinzo Abe. Shinzo Abe alijiuzulu kufuatia matatizo ya kiafya. Katika ujumbe wake, Rais amemtakia Suga kila la heri katika majukumu yake huku akimahidi ushirikiano wake na uhusinao bora baina ya mataifa haya mawili.

Ameeleza matumaini kwamba uhusiano huo utaboreshwa hata zaidi katika siku zijazo. Rais pia amempongeza Waziri Mkuu anayeondoka Shinzo Abe kwa miradi kadhaa aliyochangia humu nchini Kenya likiwamo eneo maalum la kibishara  la Dongo Kundu.

Pia taifa la Japan lilifadhili ujenzi wa barabara kadhaa nchini Kenya sawa na miradi ya kawi. Zaidi ya hayo amempongeza kwa kuitikia mwito wa kuandaa Kongamano la Kibiashara la TICAD nchini Kenya mwaka 2016 na kuhudhuria.