array(0) { } Radio Maisha | Edgar Obare afikishwa mahakamani
×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Edgar Obare afikishwa mahakamani

Edgar Obare afikishwa mahakamani

Mwanablogu Edgar Obare aliyeshtakiwa mapema leo ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki moja. Obare amefikishwa katika Mahakama ya Kiambu mapema leo na kushtakiwa kwa kuchapisha taarifa za binafsi za Mkenya kwa jina Natalie Tewa.

Mwanablogu huyo amekuwa kizuizini tangu alipokamatwa wiki iliyopita mjini Kisumu na kusafirishwa hadi Nairobi ambapo alihojiwa katika makao makuu ya Idara ya Upelelezi DCI.

Hata hivyo Obare anayewakilishwa na wakili Titus Kinyua alikana mashtaka yake na kuomba kuachiliwa kwa dhamana ombi lililokubaliwa na mahakama.