×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Chuo Kikuu cha Naorobi chaahirisha mpango wa kukifungua, Septemba

Chuo Kikuu cha Naorobi chaahirisha mpango wa kukifungua, Septemba

Chuo Kikuu cha Nairobi kimeahirisha mpango wa kufunguliwa kwa chuo hicho kwa muda usiojulikana baada ya wafanyakazi watatu kufariki dunia kutokana na mamabukizi ya virusi vya korona.

Kaimu Mkuu wa Chuo hicho Professa Stephen Kiama amesema Chuo cha Noarobi hakitafunguliwa mwezi Septemba ilivyokuwa imepangwa awali. Wafanyakazi hao wamefariki dunia katika kipindi cha wiki tatu zilizopita.

Katika utaratibu uliotolewa na Wizara ya Elimu Vyuo Vikuu na vile vya Kiufundi vingefunguliwa mwezi Septemba huku mipango ya kufunguliwa kwa shule za upili na msingi ikiahirishwa hadi mwaka ujao.