×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Zindzi Mandela alikuwa na COVID -19; amesema mwanawe

Zindzi Mandela alikuwa na COVID -19; amesema mwanawe

Zindzi Mandela, aliyekuwa mwanawe aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa COVID-19. Familia yake imethibitisha hayo ikisema inasubiri ripoti kamili ya uchunguzi

Marehemu Zindzi alifariki katika hospitali ya moja jijini Johannesburg mapema Jumatatu akiwa na umri wa miaka 59.

Mwanawe Zondwa Mandela aliliambia shirika la habari la SABC kwamba haikujulikana  alikuwa akiugua COVID-19 na wakaagiza uchunguzi zaidi kufanyiwa mwili wake.

Mwili wa Zindzi ambaye amemwacha mume na wanawe wanne utazikwa kesho.