array(0) { } Radio Maisha | Idadi ya walioambukizwa virusi vya korona nchini Kenya imefika watu 31
×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
×

Idadi ya walioambukizwa virusi vya korona nchini Kenya imefika watu 31

Idadi ya walioambukizwa virusi vya korona nchini Kenya imefika watu 31

Idadi ya watu walioambukizwa Korona humu nchini imefikia thelathini na moja. Wizara ya Afya imesema visa vitatu zaidi vimethibitishwa leo hii Kwenye Kaunti ya Kilifi na Nairobi.

Aidha Wizara hiyo inawafuatilia watu mia tisa na sita waliotangamana na waathiriwa wa korona nchini huku wengine kumi na wanane wakiwa kwenye hospitali ya Mbagathi wakisubiri matokeo.

Aidha imebainika kwamba zaidi ya watu elfu mbili wamewasili nchini kutoka mataifa ya nje na wasubiri kupimwa, ili kubaini iwapo wana korona au la.