array(0) { } Radio Maisha | Afisa wa ngazi ya juu katika ubalozi wa Uingereza nchini Hungary ameaga dunia kutoana na virusi vya korona.

Afisa wa ngazi ya juu katika ubalozi wa Uingereza nchini Hungary ameaga dunia kutoana na virusi vya korona.

Afisa wa ngazi ya juu katika ubalozi wa Uingereza nchini Hungary ameaga dunia kutoana na virusi vya korona.

Afisa wa ngazi ya juu katika ubalozi wa Uingereza nchini Hungary ameaga dunia kutoana na virusi vya korona. Steven Dick mwenye umri wa miaka 37 alikuwa msaidizi wa balozi wa Uingereza jijini Budapest katika taifa la Hungary.

Kwa mujibu wa Uingereza, Steven alipatikana na ugonjwa huo siku chache zilizopita kabla ya kuaga dunia usiku wa kuamkia jana.

Kifo chake sasa kinaongeza  idadi ya watu wachanga wanaoaga dunia kutokana na virusi hivyo licha ya taarifa za awali kwamba ulikuwa ukiwalemea zaidi watu wenye umri mkubwa. Kwa mujibu wa utafiti nchini Marekani, asilimia 38 ya wanaogua ni kati ya umri wa miaka 20 na 54.