array(0) { } Radio Maisha | Mwanamfalme wa Uingereza Charles Prince of Wells amethibitishwa kuwa na virusi vya korona.

Mwanamfalme wa Uingereza Charles Prince of Wells amethibitishwa kuwa na virusi vya korona.

Mwanamfalme wa Uingereza Charles Prince of Wells amethibitishwa kuwa na virusi vya korona.

Mwanamfalme wa Uingereza Charles Prince of Wells amethibitishwa kuwa na virusi vya korona. Mwanamfalme huyo mwenye umri wa miaka sabini na mmoja kwa sasa amewekwa karantini katika eneo la Balmoral Castle nchini Scotland.

Inaarifiwa mwanamfalme huyo amabye ni mwana wa kwanza wa Malkia wa Uingereza Elizabeth wa Pili yu katika hali nzuri. Japo mkewe Camila Duchess of Cornwall amebainika kutokuwa na korona pia amewekwa karantini.

Kufikia sasa watu walioambukizwa virusi hivyo imefikia elfu mia nne ishirini na nane mia tisa hamsini huku elfu kumi na tisa mia moja hamsini na mbili wakifariki dunia.