array(0) { } Radio Maisha | Serikali yasitisha kwa muda uagizaji wa nguo za mtumba kufuatia kusambaa kwa virusi vya Korona.

Serikali yasitisha kwa muda uagizaji wa nguo za mtumba kufuatia kusambaa kwa virusi vya Korona.

Serikali yasitisha kwa muda uagizaji wa nguo za mtumba kufuatia kusambaa kwa virusi vya Korona.

Serikali imesitisha kwa muda uagizaji wa nguo za mtumba kufuatia kusambaa kwa virusi vya Korona. Kwa mujibu wa Idara ya Biashara katika Wizara ya Biashara na Viwanda, hatua hiyo pia inalenga kuvinufaisha viwanda vya humu nchini vya kutengeneza  nguo.

Ikumbukwe kumekuwa na hofu baada ya bidhaa zinaweza kuwa zimeambukizwa virusi vya Korona japo Wizara ya Afya imesema bidhaa zote zinazosafirushwa zinapitia hatua kadhaa za kuua viini.