array(0) { } Radio Maisha | Jambojet imesitisha safari za ndege kuelekea Uganda na Rwanda

Jambojet imesitisha safari za ndege kuelekea Uganda na Rwanda

Jambojet imesitisha safari za ndege kuelekea Uganda na Rwanda

Kampuni ya Ndege ya Jambojet imesitisha safari za ndege kuelekea mataifa jirani ya Uganda na Rwanda. Hatua hii ni miongoni za hivi punde zinazoathiri sekta ya usafiri wa angani. Ikumbukwe kuanzia leo, safari zote za ndege kuelekea mataifa yaliyoathiriwa zimepigwa marufuku kufuatia agizo la Rais Uhuru Kenyatta.

Maambukizi nchini Rwanda yamefika saba, nchini Tanzania kimoja hukui taifa la Uganda likisalia pasi na kisa chochote kufikia sasa.