array(0) { } Radio Maisha | Joyce Wanjiku Ngugi ndiye Naibu Gavana mpya wa Kiambu

Joyce Wanjiku Ngugi ndiye Naibu Gavana mpya wa Kiambu

Joyce Wanjiku Ngugi ndiye Naibu Gavana mpya wa Kiambu

Joyce Wanjiku Ngugi ndiye Naibu Gavana Mteule wa Kaunti ya Kiambu. Ngugi ameteuliwa muda mfupi uliopita na Gavana wa Kiambu James Nyoro.

Uteuzi huu unajiri wiki mbili tu baada ya Nyoro kuapishwa kuwa Gavana Mpya wa Kiambu kufuatia kubanduliwa ofisini kwa Gavana Ferdinand Waititu.