array(0) { } Radio Maisha | James Nyoro aapishwa kuwa Gavana wa Kiambu na kuwa gavana wa tatu

James Nyoro aapishwa kuwa Gavana wa Kiambu na kuwa gavana wa tatu

James Nyoro aapishwa kuwa Gavana wa Kiambu na kuwa gavana wa tatu

James Nyoro ameapishwa kuwa Gavana mpya wa Kiambu baada ya kuondolewa mamlakani kwa Gavana Ferdinand Waititu.

Hafla ya kumwapisha Nyoro imeongozwa na Jaji wa Mahakama Kuu, James Onyiego.

Awali Mahakama Kuu ilikataa ombi lililowasilishwa na Waititu kupinga kuapishwa kwa Nyoro kuwa gavana.

Halfa ya kumwapisha Nyoro ilisitishwa siku iliyopita huku Jaji Nyiego akisema utaratibu wa kumwapisha haukuwa umefuatwa.