array(0) { } Radio Maisha | Babu Owino amekamatwa kufuatia kisa cha mtu mmoja kupigwa risasi jijini Nairobi

Babu Owino amekamatwa kufuatia kisa cha mtu mmoja kupigwa risasi jijini Nairobi

Babu Owino amekamatwa kufuatia kisa cha mtu mmoja kupigwa risasi jijini Nairobi

Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino amekamatwa kufuatia kisa ambapo mtu mmoja amepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya katika klabu moja jijini Nairobi.

Inaarifiwa kisa hicho kimetokea katika Klabu ya B Club mtaani Kilimani, Nairobi. Mbunge huyo anaendelea kuhojiwa katika Kituo cha Polisi cha Kilimani akisubri kufikishwa mahakamani baadaye leo.