array(0) { } Radio Maisha | Mwanahabari Anjlee Gadhvi afariki baada ya kuugua saratani kwa muda
×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Mwanahabari Anjlee Gadhvi afariki baada ya kuugua saratani kwa muda

Mwanahabari Anjlee Gadhvi afariki baada ya kuugua saratani kwa muda

Mwanahabari wa Runinga ya K24 Anjlee Gadhvi amefariki dunia baada ya kuugua saratani kwa muda mrefu.

Gadhvi aligundua kuwa na saratani ya maini mwaka wa 2013 kabla ya kutangaza rasmi miaka miwili baadaye.

Baada ya tangazo hilo alifanyiwa mchango wa shilingi milioni 6  za matibabu nchini India kabla ya kutangaza kupona kisha akaugua tena.

Kutoka Radio Maisha twasema makiwa kwa familia ya Anjlee Gadhvi na Mungu ailaze roho yake mahali pema.