array(0) { } Radio Maisha | Kambi mbili za wanajeshi wa Marekani nchini Iraq zimeshambuliwa kwa makombora

Kambi mbili za wanajeshi wa Marekani nchini Iraq zimeshambuliwa kwa makombora

Kambi mbili za wanajeshi wa Marekani nchini Iraq zimeshambuliwa kwa makombora

Kambi mbili za wanajeshi wa Marekani nchini Iraq zimeshambuliwa kwa makombora kadhaa, kwa mujibu wa Idara ya Ulinzi ya Marekani.

Runinga ya Kitaifa ya Iran imetangaza kuwa shambulio hilo ni la kulipiza kisasi mauaji ya Kamanda Mkuu Qasem Soleimani aliyeuliwa katika shambulio la ndege isiyokuwa na rubani jijini Baghdad, kufuatia agizo la Rais wa Marekani Donald Trump.

Pentagon inasema kuwa kambi mbili zilishambuliwa, mjini Irbil na Al Asad hata hivyo, haijabainika iwapo kuna majeruhi wowote kutokana na shambulio hilo la jana usiku.