array(0) { } Radio Maisha | Naibu Mwenyekiti wa NCIC, Fatuma Tabwara ameaga dunia

Naibu Mwenyekiti wa NCIC, Fatuma Tabwara ameaga dunia

Naibu Mwenyekiti wa NCIC, Fatuma Tabwara ameaga dunia

Naibu Mwenyekiti wa Tume ya Uwiano na Utangamano wa Kitaifa, Fatuma Tabwara ameaga dunia Tabwara ghafla mwezi mmoja tu baada ya kuapishwa akiwa katika arusi moja katika Kaunti ya Kwale.

Tabwara alikimbizwa hospitalini baada ya kuzirai ambapo iligunduliwa kwamba alikuwa tayari ameaga dunia. Fatuma aligombea uwakilishi wadi japo alishindwa kabla ya kuteuliwa miongoni mwa makamishna wa NCIC na kukabidhiwa wadhifa wa Naibu Mwenyekiti.

Makamishna wapya wa NCIC waliapishwa tarehe 20 mwezi uliopita.