array(0) { } Radio Maisha | Kizungumkuti chatanda kuhusu kijana aliyedaiwa kufariki dunia baada ya kuanguka kutoka kwa ndege ya Kenya Airways

Kizungumkuti chatanda kuhusu kijana aliyedaiwa kufariki dunia baada ya kuanguka kutoka kwa ndege ya Kenya Airways

Kizungumkuti chatanda kuhusu kijana aliyedaiwa kufariki dunia baada ya kuanguka kutoka kwa ndege ya Kenya Airways

Kampuni moja ya uwakili inatarajiwa kulifungulia mashtaka Shirika la Kimatifa la Habari la Sky News kwa kuchapisha taarifa za uongo kuhusu jamaa aliyeanguka kutoka kwenye ndege ya KQ nchini Uingereza. Hatua hii inafuatia kugunduliwa kwamba jamaa mbaye picha zake zilitumiwa katika taarifa hiyo kuashiria kuwa ni Paul Manyasi, Raia wa Kakamega anazuiliwa rumande nchini Kenya.

Cedric Shivonge tayari amezungumza na vyombo vya habari akiandamana na babaye, Isaac Betti huku hatua hiyo ikikifanya kuwa vigumu zaidi kitendawili cha ni nani hasa aliyeanguka kutoka kwenye ndege hiyo na taarifa ya Sky News ilitoka wapi