array(0) { } Radio Maisha | Naibu wa Rais William Ruto ahudhuria hafla kufuzu kwa mahafali wa RVTTI Eldoret

Naibu wa Rais William Ruto ahudhuria hafla kufuzu kwa mahafali wa RVTTI Eldoret

Naibu wa Rais William Ruto ahudhuria hafla kufuzu kwa mahafali wa RVTTI Eldoret

Naibu wa Rais Dkt. William Ruto pamoja na viongozi wengine wakuu serikalini wanahudhuria hafla ya kufuzu kwa wanafunzi wa Taasisi ya Mafunzo ya Ufunzi Anuwai RVTTI Mjini Eldoret.

Tayari Ruto amefungua rasmi duka la kuuza nguo zinazotengezwa ma kiwanda cha taasisi hiyo kwa jina Rivatex.

Ufunguzi huo unatarajiwa kuisaidia Kampuni ya Rivatex kupata soko la bidhaa zake ikiwa njia mojawapo ya kuimarisha sekta ya viwanda nchini.

Afisa wa Mahusiano ya Umma katika kiwanda Cha Rivatex Silah Kosgei amesema mpango huo umefanyika kufuatia mkataba kati ya taasisi hiyo na kiwanda cha Rivatex uliyotiwa saini mwezi mmoja uliopita.