array(0) { } Radio Maisha | Wanariadha watuzwa wakati wa sherehe ya Mashujaa Day Bomet

Wanariadha watuzwa wakati wa sherehe ya Mashujaa Day Bomet

Wanariadha watuzwa wakati wa sherehe ya Mashujaa Day Bomet

Serikali ya kaunti ya Bomet jana iliwatuza wanariadha watatu wakati wa sherehe za Mashujaa Day zilizoandaliwa katika Bustani ya Mogogosiek Baraza Park. Bingwa wa dunia katika shindano la mbio za mita 3000 kuruka viunzi na maji kwa wanawake Beatrice Chepkoech, bingwa wa shindano la mbio za mita 1500 kwa wanaume Timothy Cheruyuito na aliyekuwa bingwa wa shindano la mbio za mita 10000 Wiliam Cheruyoit Sigei walituzwa na gavana Hillary Barchok.