array(0) { } Radio Maisha | Mwili wa Kasisi wa Katoliki wa eneo la Machakos aliyetoweka kisha mwili wake ukapatikana umezikwa, umefukuliwa

Mwili wa Kasisi wa Katoliki wa eneo la Machakos aliyetoweka kisha mwili wake ukapatikana umezikwa, umefukuliwa

Mwili wa Kasisi wa Katoliki wa eneo la Machakos aliyetoweka kisha mwili wake ukapatikana umezikwa, umefukuliwa

Mwili wa Kasisi wa Katoliki wa eneo la Machakos ambaye alitoweka kisha mwili wake ukapatikana umezikwa katika eneo la Mbeere umefukuliwa.

Mkurugenzi wa Idara ya Upelelzi DCI George Kinoti ameaahidi kuhakikisha uchunguzi wa kina unafanywa ili kuwanasa waliohusika.

Michael Maingi Kyengo alitoweka Oktoba tarehe nane aliposafiri kutoka Tala kuelekea Parokia ya Thatha katika eneo la Masinga.

Ripoti za awali za maafisa wa polisi zimeonesha kwamba kasisi huyo alitekwa nyara na watu wasiojulikana.

Mwili huo umefukuliwa kwa ushirikiano na Mwanapatholojia wa serikali ukisubiri kufanyiwa upasuaji.