array(0) { } Radio Maisha | Elachi amerejea ofisini
×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
×
Elachi amerejea ofisini

Hatimaye, Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi Beatrice Elachi amerejea ofisini miezi kumi na mitatu baada ya kutimuliwa kwa fujo na baadhi ya Wawakilishi Wadi.

Elachi ameripoti ofisini mwake akiwa amezindikishwa na Wawakilishi Wadi wa mrengo wa ODM huku akionekana mwingi wa tabasamu na kumiminia sifa Gavana wa Nairobu Mike Sonko.

Wengine walioandamana na Elachi ni Mwakilishi wa Kike kwenye Kaunti ya Homa Bay Gladys Wanga ambaye amemtaka Spika huyo kisimama kidete kutetea wadhifa wake.