array(0) { } Radio Maisha | Visa vya wanafunzi kupachikwa mimba vyaongezeka Pokok Magharibi

Visa vya wanafunzi kupachikwa mimba vyaongezeka Pokok Magharibi

Visa vya wanafunzi kupachikwa mimba vyaongezeka Pokok Magharibi
Visa vya wasichana wa shele kupachikwa mimba vimeropitiwa kuongezeka katika Kaunti ya Pokot Magharibi hususan wakati wa likizo.
 
Kwa mujibu wa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Alale, Pamela Oliech wasichana hao hukosa walezi na kupotoshwa na marafiki wabaya.
 
Pamela vilevile amepongeza hatua ya Kaunti ya Pokot Magharibi ya kumpa kila mwanafunzi shilingi elfu kumi kwa minajili ya kufadhili masomo akitaja kuwa hatua hiyo itawasaidia wanafunzi kusalia shuleni na kupunguza visa vya kupachikwa mimba.