array(0) { } Radio Maisha | Kampuni za ulinzi wa binafsi zatakiwa kuzingatia sheria kabla ya 2020
×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
×

Kampuni za ulinzi wa binafsi zatakiwa kuzingatia sheria kabla ya 2020

Kampuni za ulinzi wa binafsi zatakiwa kuzingatia sheria kabla ya 2020

Kampuni za ulinzi za binafasi ambazo hazitazingatia matakwa mapya kuhusu leseni kufikia tarehe 5 mwezi Januari mwaka wa 2020 zitafungwa.

Waziri wa Masuala ya Ndani ya Nchi Dkt. Fred Matiang'i ameonya kwamba serikali haitalegeza kamba kuhusu makataa hayo huku akiwasashauri watakaokuwa wakisaka ajira katika kampuni hizo kuhakikisha wanaajiriwa katika kampuni zilizosajiliwa chini ya Mamlaka ya udhibiti wa Usalama wa Binafsi.

Kenya ina zaidi ya kampuni 2,500 za ulinzi wa binafsi ambazo zimewaajiri zaidi ya wafanyakazi nusu milioni