array(0) { } Radio Maisha | Watu wawili wafariki dunia katika ajali ya barabarani eneo la Naivasha

Watu wawili wafariki dunia katika ajali ya barabarani eneo la Naivasha

Watu wawili wafariki dunia katika ajali ya barabarani eneo la Naivasha

Watu wawili wamefariki dunia baada ya matatu waliyokuwa wakisafiria kugongana ana kwa ana  na gari la kuwasafirisha watalii karibu na shamba la Delamere mjini Naivasha kwenye Barabara Kuu ya Nakuru - Nairobi. 

Gari hilo lilikuwa likielekea Nakuru nalo la watalii likielekea Nairobi. Manusura wamepelekwa  kwenye Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Naivasha.