array(0) { } Radio Maisha | Uhuru awasili kuzindua maeneo ya kilimo Mombasa

Uhuru awasili kuzindua maeneo ya kilimo Mombasa

Uhuru awasili kuzindua maeneo ya kilimo Mombasa

Rais Uhuru Kenyatta amewasili eneo la Mkomani, Kaunti ya Mombasa kuzindua rasmi Maonesho ya Kilimo ya mwaka huu.

Uhuru amelakiwa na Gavana  wa Mombasa Ali Hassan Joho miongoni mwa viongozi wengine wa kisiasa eneo hilo na kwasasa anatembelea vibanda mbalimbali vya maonesho hayo kabla kuyafungua rasmi.

Kauli mbiu ya maonesho haya ya mwaka huu ni Kukuza Ubunifu na Teknolojia katika Kilimo na Biashara