array(0) { } Radio Maisha | mwanaume kumuu mkewe kwa kumchinja Trans nzoia.

mwanaume kumuu mkewe kwa kumchinja Trans nzoia.

mwanaume kumuu mkewe kwa kumchinja Trans nzoia.

Huzuni ingali imetanda kwenye eneo la Makunga Kaunti ya Trans Nzoia baada ya mwanaume kumuu mkewe kwa  kumchinja kabla kujinyonga kufuatia mzozo kwamba mmoja wao hakuwa mwaminifu katika ndoa.

Kwa mujibu wa jirani kwa jina Kennedy Barasa ambaye alijaribu kuwatenganisha kabla mwanamume huyo kuonekana kuwa hatari wawili hao ambao wote ni wafanyabiashara wamemekuwa wakizozona kwa muda na kwamba hawakutafuta ushauri nasaha kwa majirani, jamaa wake na wala viongozi wa dini.

Kisa hiki ni cha tatu kuripotiwa kwenye eneo hilo kwa kipindi cha miezi minne.