array(0) { } Radio Maisha | Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Belio Kipsang amefungua kongamano kuhusu mtalaa wa umilisi CBC mjini Nyeri

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Belio Kipsang amefungua kongamano kuhusu mtalaa wa umilisi CBC mjini Nyeri

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Belio Kipsang amefungua kongamano kuhusu mtalaa wa umilisi CBC mjini Nyeri

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Belio Kipsang amefungua rasmi kongamano la majadiliano kuhusu mtalaa huo katika eneo la Kati ya Nchi, kongamano ambalo linafanyika katika shule ya Mising ya Nyeri Complex, Kaunti ya Nyeri.

Akizungumza wakati wa ufunguzi huo,Kipsang amesema majadiliano hayo yataendelea na kulenga kupata mwafaka wa kuendeleza mtaala huo, na kukabili changamoto zote zilizopo.


Kipsang aidha amesema masomo ya gredi ya nne hadi sita ndiyo yatakayokuwa kipaumbele ili kuwapa wanafunzi mwelekeo bora wa masomo