array(0) { } Radio Maisha | Mfanyabiashara Joyce Akinyi akamatwa akiwa na dawa za kulevya

Mfanyabiashara Joyce Akinyi akamatwa akiwa na dawa za kulevya

Mfanyabiashara Joyce Akinyi akamatwa akiwa na dawa za kulevya

Mfanyabaishara Joyce Akinyi na mwanamume mmoja raia wa Congo wamekamatwa wakiwa na dawa za kulevya aina ya heroine zenye thamani ya shilingi milioni tatu.

Wawili hao wamekamatwa katika hoteli moja eneo la Nairobi West. Kwa sasa wanazuiliwa katika Kituo cha Polisi cha Muthaiga.

 Si mara ya kwanza kwa m fanyabaishara hujyo kukamatwa kwa kuhusishwa na dawa za kulevya kwani mwaka 2015 vilevile alikamatwa akiwa na dawa ya heroine yenye thamani ya shilingi milioni 4.2.